Wednesday 20th, January 2021
@Shule ya Msingi Njuga na Shule ya Msingi Mkuyuni
Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Bi. Sophia Kizigo akiwa katika shule ya Msingi Mkuyuni akipima uelewa wa wanafunzi wa shule hiyo ambapo aliuliza maswali kwa wanafunzi wa shule hiyo na kubaini uelewa mzuri wa wanafunzi hao katika kusoma ,kuandika na kuhesabu (k,k,k)licha ya wanafunzi hao kuwa katika mazingira magumu ya kusomea .
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0765142640
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2018Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.