• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

5169 waanza kufanya mitihani namtumbo

Tarehe ya Kuweka: October 7th, 2020

                                               5169 WAANZA  KUFANYA  MITIHANI NAMTUMBO.


Wanafunzi 5169 wameanza mitihani yao ya kumaliza elimu  ya msingi mwaka 2020  katika Halmashauri ya  wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma  huku kukiwa na jumla  ya  wavulana 2445    na jumla  ya wasichana 2724.

Afisa  elimu msingi wa Halmashauri ya  wilaya ya Namtumbo bwana Protas  Komba  alisema jumla ya shule  108 ndizo zitafanya mitihani hiyo na shule 3 zimeanzishwa karibuni  hazina wanafunzi wa darasa  la saba.

Alizitaja shule  zilizoanzishwa  karibuni  kuwa ni shule ya msingi PAX, Shule ya msingi Miembeni  pamoja na shule ya msingi ST  Nicolous  ambapo kwa pamoja inazifanya Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo kuwa na jumla ya shule  111 na shule 108  pekee  ndizo zinazohusika na ufanyaji wa mitihani ya Darasa la saba kwa mwaka huu 2020.

Kwa mujibu wa Komba  alidai mitihani imeanza  na wanafunzi wote wa  Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo wapo  kwenye  vyumba vya  mitihani wakiendelea  kufanya mitihani kwa kufuata  sheria ,kanuni na taratbu za wizara .

Aidha  mwalimu mkuu wa  shule  ya msingi  mwenge iliyopo mamlaka ya mji mdogo wa Namtumbo bwana Aidan Ndomba alisema mitihani inaendelea vyema  katika shule yake  ambayo inajumla ya  wanafunzi watahiniwa 60 wasichana 30 na wavulana 30 na wote wapo kwenye chumba cha mtihani.

Hata hivyo  mwalimu mkuu wa shule ya msingi Namtumbo bwana Pambo  Mahundi naye alidai anawatahiniwa 105  wanaofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu 2020  kukiwa na jumla ya wasichana  64 na wavulana 41.

Evance Nachimbinya  Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo alisema kuwa  mitihani ya kitaifa imeanza vyema katika Halmashauri  ya wilaya ya Namtumbo na mitihani hiyo inaendelea vizuri katika shule zote 108 zinazofanya mitihani hiyo.

Mwisho .

         

Matangazo

  • Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021 kutoka katika shule mbalimbali za msingi za Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma December 18, 2020
  • Kimolo Secondary School Joining instruction December 18, 2020
  • Korido Secondary School Joining Instruction December 18, 2020
  • Lisimonji Secondary School Joining Instruction December 18, 2020
  • Ona zote

Habari Mpya

  • MJUMITA watoa mafunzo ya utawala bora namtumbo

    January 19, 2021
  • DC namtumbo awataka askari wa akiba kuilinda amani.

    January 19, 2021
  • mbunge namtumbo aupongeza uongozi sonamcu

    January 18, 2021
  • atamani namtumbo kuwa na timu ligi kuu

    January 03, 2021
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0765142640

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2018Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.