• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

Diwani aiomba serikali wazazi waliotelekezwa na watoto waliomakazini wanufaike na mfuko wa TASAF

Tarehe ya Kuweka: March 1st, 2021

.

Akichangia mapendekezo ya bajeti  2021/2022 ya Halmashauri  ya wilaya namtumbo diwani wa kata  ya likuyu  wilayani  Namtumbo  mkoani Ruvuma  bwana Kassimu  Gunda  alisema anaiomba serikali kuwaingiza wazee waliotelekezwa  na watoto  wao ambao wanafanyakazi  za serikali au katika taasisi binafsi kwa kuwa wanamazingira  magumu  na wanastahili kunufaika  na mfuko wa kunusuru kaya maskini  TASAF.

Gunda alidai ruzuku  ya miradi ya maendeleo  kutoka kwa wadau  wa maendeleo  ikiwemo  ya  TASAF  anaiomba  serikali  ruzuku hiyo iangalie watu wanaoishi katika mazingira magumu  bila kujali baadhi ya wazazi wana watoto wenye nafasi kubwa serikali  huku watoto  hao wamewatelekeza  wazazi wao  na wanaishi katika mazingira magumu  na wanahaki ya kunufaika na mpango wa TASAF.

Aidha bwana  gunda alisema  kuna mifano dhahiri  kuwa  wapo  wafanyakazi wa serikali wakishaoa  na kuwa na familia huwatelekeza  wazazi  wao  ingawa sio wote lakini wapo  na katika mazingira hayo  wazazi wa  familia hizo waingizwe  katika mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF  na sio kuwaacha kwa kigezo cha kuwa na watoto  wanaofanya kazi  ambao hawawahudumii wazazi wao.

Naye diwani  wa kata ya Mkongo  Daniel  Nyambo alisema katika kutengeneza  bajeti  ya 2021/2022 Halmashauri  ihakikishe inajikita katika kuimarisha mfuko wa  CHF iliyoboreshwa  ili makusanyo  watakayopatikana  yaweze  kutoa huduma bora za afya katika vituo vya kutolea huduma za afya.

Awali afisa mipango wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo  bwana  Amos  Kanige alisema Halmashauri  kupitia ruzuku  ya maendeleo  inatarajia  kuboresha huduma  kwa wananchi  kwa kuweka mazingira wezeshi    ya utoaji  ruzuku  ya  fedha ya kunusuru  kaya maskini TASAF .

Mwenyekiti  wa  halmashauri  ya wilaya ya Namtumbo bwana Juma  Pandu  aliwata watumishi wa serikali kuongeza  ufanisi wa kazi ,kuongeza  ushirikiano kati yao na waheshimiwa madiwani  pamoja na wananchi wote wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo.

Baraza la madiwani  la Halmashauri  ya wilaya ya Namtumbo  limepitisha  mapendekezo  ya  bajeti  kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kwa  kukisia kukusanya  na kupokea  jumla ya  28,237,660,4000 huku ikikisia  kutumia  18,043,444,000 kwa ajili ya mishahara,  Tsh 7,335,523,,400 kwa ajili miradi ya maendeleo  na Tsh  2,858,693,000 kwa ajili ya matumizi mengineyo.

Na  Yeremias Ngerangera.

Matangazo

  • Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021 kutoka katika shule mbalimbali za msingi za Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma December 18, 2020
  • Kimolo Secondary School Joining instruction December 18, 2020
  • Korido Secondary School Joining Instruction December 18, 2020
  • Lisimonji Secondary School Joining Instruction December 18, 2020
  • Ona zote

Habari Mpya

  • Kikao cha wadau wataka korosho kuuzwa namtumbo

    April 12, 2021
  • Madiwani namtumbo walalamikia korosho zao kuuzwa Tunduru

    April 01, 2021
  • Diwani aiomba serikali wazazi waliotelekezwa na watoto waliomakazini wanufaike na mfuko wa TASAF

    March 01, 2021
  • Naibu waziri aridhishwa ujenzi wa bweni ,bwalo namtumbo

    February 24, 2021
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0765142640

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2018Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.