• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

Mkurugenzi atoa maagizo mazito kwa watendaji

Tarehe ya Kuweka: February 10th, 2021



Mkurugenzi  mtendaji wa  Halmasjhauri ya wilaya  Namtumbo  mkoani Ruvuma  Evance  Nachimbinya  amewaagiza  watendaji wa vijiji  na kata katika Halmashauri hiyo  kukusanya mapato  kupitia vitambulisho vya ujasiliamali ,kukusanya mapato  yatokanayo  na kodi ya  majengo  pamoja na mabango.

Akiongea  na watendaji wa  kata na vijiji  katika ukumbi wa Halmashauri hiyo Nachimbinya alisema  kodi ya  majengo na mabango  ilikuwa inakusanywa na mamlaka ya Mapato  Tanzania TRA lakini  kwa sasa serikali imerudisha serikali za mitaa ili kurahisisha ukusanyaji huo .

Hata  hivyo bwana  Nachimbinya  aliwaagiza watendaji hao  kuwa kabla ya kuanza ukusanyaji huo  watendaji wanatakiwa kuwasilisha  taarifa za majengo yanayostahili kulipiwa kodi  pamoja na idadi ya mabango yanayotakiwa kulipiwa  yaliyopo katika vijiji vyao katika ofisi ya mkurugenzi .

Awali  afisa biashara  wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo  bwana  Revocatus  Kavishe  aliwaambia watendaji hao kuwa  wanatakiwa  kufuata sheria taratibu na kanuni  katika  kusajiri  walipa kodi za  majengo na  sio kupokea maelezo ambayo yanayolenga  kukwepa  kulipa kodi na   kimsingi hayapo  katika sheria.

Kavishe  alidai  uzoefu  unaonyesha  kuwa wapo watendaji  katika kutekeleza majukumu yao  huwa  hawasimamiii  kanuni na sheria zilizopo na badala yake  husikiliza maelezo  ya watu  wenye nia ya kukwepa  ambayo  hayapo  katika  kanuni  na sheria zilizopo .

Alitaja  uzoefu  alioupata katika  ukusanyaji wa  fedha za vitambulisho  vya ujasiliamali alidai wapo watendaji ambao hawakuuza vitambulisho  kwa baadhi ya wafanyabishara wadogo  kutokana na  kusikiliza maelezo  na kuacha kuwauzia vitambulisho badala ya kufuata sheria  na kanuni zilizopo za wanyasiliamali wote wanahitajika kuwa na vitambulisho badala ya kupokea maelezo.

Mario  Mwageni  mtendaji  wa mamlaka  ya mji  mdogo wa  Namtumbo kwake yeye  zoezi hilo  alidai sio geni lakini alihoji sheria ya ukusanyaji inasemaje katika maeneo mengine ambayo sio mamlaka ya miji midogo  kwa kuwa  ukusanyaji katika sheria  inayotumika inaishia kukusanya  kodi ya majengo  mwisho katika mamlaka  ya miji midogo pekee.

Afisa  kodi ya majengo kutoka  mamlaka ya mapato  wilaya ya Namtumbo  bwana  Samwel  Masawe aliyehudhuria kikao hicho  alidai nyumba zinzotakiwa kulipiwa kodi ya jengo ni zile zilizojengwa kwa tofali na kuezekwa  bati  huku  ndani ya nyumba hizo  kuna watu wanaishi. Alifafanua bwana Masawe.

Afisa  utumishi  wa Halmashauri hiyo  Eleonora  Lyimo  pia alitumia nafasi hiyo kuwataka watumishi  kuitisha vikao  kwa mujibu wa sheria  huku akiwasihi  kufanya kazi zinazowapasa kufanya  na kuacha kujiingiza katika makundi ya siasa  pamoja na kujikita katika  swala la ulevi  kupindukia na kusahau  kazi.

MWISHO..

 

Matangazo

  • Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021 kutoka katika shule mbalimbali za msingi za Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma December 18, 2020
  • Kimolo Secondary School Joining instruction December 18, 2020
  • Korido Secondary School Joining Instruction December 18, 2020
  • Lisimonji Secondary School Joining Instruction December 18, 2020
  • Ona zote

Habari Mpya

  • Naibu waziri aridhishwa ujenzi wa bweni ,bwalo namtumbo

    February 24, 2021
  • Baraza la wafanyakazi namtumbo lapitisha mapendekezo ya bajeti 2021/2022

    February 22, 2021
  • Familia 6 zapata pigo

    February 11, 2021
  • Mkurugenzi atoa maagizo mazito kwa watendaji

    February 10, 2021
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0765142640

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2018Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.