Leseni zinatolewa kwa kukamilisha taratibu zote za kuwa na Biashara. Baada ya hapo fika ofisi ya Afisa biashara atakupa gharama za leseni kulingana na ukubwa wa biashara yako ya kileo.
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0765142640
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.