Elimu itolewayo wilayani Namtumbo ni;
Elimu Msingi
Elimu sekondari
Elimu ya Ufundi
Elimu Msingi;
Idadi ya shule za msingi zilizopo ni 108
Elimu sekondari
Idadi ya shule za msingi zilizopo ni 38
Elimu ya Ufundi
Elimu ya ufundi inayotolewa Wilayani Namtumbo ni pamoja na Ushonaji, udereva na Ufundi wa umeme majumbani. Ambapo kwa sasa kuna chuo kikubwa cha Ufundi (VETA) kinachoendelea kujengwa wilayani Namtumbo cha kanda ya kusini ambacho kimefika asilimia 94 ya ujenzi na kinatarajiwa kufunguliwa rasmi mwishoni mwa mwezi otoba 2018 na kitakuwa chuo muhimu sana kwa kanda ya kusini kwaajili ya mafunzo ya ufundi.
Naibu Waziri wa Elimu Mhe. Ole Nasha (wa kwanza kulia), Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Mhe. Sophia Kizigo (wa kwanza Katikati) na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Namtumbo mhe. Daniel Nyambo (wa kwanza Kushoto) wakikagua maendeleo ya Ujenzi wa chuo cha ufundi Namtumbo kwa maandalizi ya ufunguzi mwishoni mwa mwezi oktoba 2018.
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.