BAADHI YA WAKULIMA KUTOKA NAMTUMBO WAKIONESHA MAZAO MBALIMBALI KATIKA MABANDA YA MAONESHO YA NANENANE MBEYA
Tarehe ya Kuweka: August 5th, 2024
Baadhi ya Wakulima Kutoka katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo wakiwa katika vibanda vyao vya maonesho ya Mazao mbalimbali katika viunga vya maonesho ya nanenane vya John Mwakangale Jijini Mbeya.