• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

BARAZA LA MADIWANI NAMTUMBO LAPITISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA BAJETI 2023/2024

Tarehe ya Kuweka: January 30th, 2023

BARAZA  LA  MADIWANI  NAMTUMBO  LAPITISHA  MAPENDEKEZO YA MPANGO WA BAJETI  2023/2024

Akisoma mapendekezo ya mpango wa bajeti wa mwaka 2023/2024 kwenye kikao cha baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo ,Afisa mipango wa Halmashauri hiyo Amos  Kanige alisema mapendekezo ya bajeti ya mwaka 2023/2024 imezingatia dira ya taifa ya maendeleo (2025),sheria ya bajeti namba 11 ya mwaka 2015,mwongozo wa uandaaji mpango wa bajeti  2023/2024uliotolewa na wizara ya fedha mwezi novemba 2022.

Kanige aliongeza kuwa  mapendekezo hayo ya bajeti  yamezingatia ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2020-2025,malengo ya maendeleo endelevu 2030,mpango mkakati wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo 2021/2022-2025/2026 na mapendekezo ya vipaumbele kutoka ngazi za kata,vijiji na maagizo mbalimbali ya viongozi kitaifa.

Hata hivyo Kanige alidai Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imekisia kukusanya na kupokea jumla ya shilingi 34,111,837,500 kutoka vyanzo vya mapato ya ndani,ruzuku kutoka serikali kuu na kutoka kwa wadau wa maendeleo.

Kanige alifafanua kuwa kutoka katika mapato ya ndani  Halmashauri inakisia kukusanya kiasi cha shilingi 2,342,650,000, huku Halmashauri inakisia kupokea ruzuku kutoka serikali kuu kiasi cha shilingi 23,327,988,500 na shilingi 8,441,199,000 fedha kutoka kwa wahisani alifafanua Kanige

Diwani wa kata ya likuyuseka kassim  Gunda aliwataka wataalamu kutumia bajeti hiyo inayoandaliwa hivi sasa kuondoa changamoto ya kuwa na  makusanyo makubwa tofauti na bajeti iliyowekwa na kulazimika kukubwa na changamoto ya kuhitaji kupanua vifungu katika bajeti .

Baraza la madiwani hilo pia limepitisha mapendekezo ya matumizi ya bajeti hiyo ya shilingi 34,111,837,500 kuwa shilingi 18,758,952,000 zitatumika katika kulipa mishahara ,na shilingi 12,089,035,500 kwa ajili ya miradi ya maendeleo  na shilingi 3,263,850,000 zitatumika katika matumizi mengineyo.

Hlmashauri ya wilaya ya Namtumbo kwa mwaka wa fedha 2022/2023iliidhinishiwa kukusanya kiasi cha shilingi 32,485,993,000 ambapo mpaka kufikia desemba 2022 halmashauri hiyo ilikusanya 14,874,648,947.11 na kutumia shilingi 14,199,243,708.

NA Yeremias Ngerangera...Namtumbo

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WAOMBAJI WA KAZI YA MUDA YA SENSA WALIOFAULU USAILI NA KUITWA KWENYE MAFUNZO July 27, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA June 27, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WAOMBAJI WA KAZI YA MUDA YA SENSA WALIOFAULU USAILI NA KUITWA KWENYE MAFUNZO July 27, 2022
  • MABADILIKO YA TAREHE YA KUFANYA USAILI June 22, 2022
  • Ona zote

Habari Mpya

  • DC NAMTUMBO AWATOA HOFU WANANCHI FEDHA MILIONI 510 ZA UJENZI MRADI WA MAJI

    March 16, 2023
  • DC AAGIZA UPANDAJI NA UTUNZAJI WA MITI KWENYE CHANZO CHA MTO NAMAMBIG

    March 12, 2023
  • DC NAMTUMBO; KUKUMBATIA WAJUKUU KUJIONGEZEA UMASKINI

    March 11, 2023
  • DC NAMTUMBO AWATAKA WALIMU KUSIMAMIA MAADILI SHULENI

    March 11, 2023
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0765142640

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.