• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

DC NAMTUMBO AWAAMURU WAFUGAJI KUONDOKA KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA

Tarehe ya Kuweka: May 8th, 2023

       DC  NAMTUMBO  AWAAMURU  WAFUGAJI  KUONDOKA  KWA MASLAHI  MAPANA  YA TAIFA...

Mkuu wa wilaya ya Namtumbo  mkoani Ruvuma  Ngollo  Ng’waniduhu  Malenya  amewaamuru  wafugaji  na mifugo yao kuondoka  mara  moja  na kinyume cha hapo  hatua za kuwakamata  na kuwafungulia  mashtaka    zitafuata.

Akiongea  na  wafugaji na wananchi wa kijiji cha  Kilimasera mkuu wa wilaya ya Namtumbo  alisema naamuru  wafugaji  na mifugo yao  kuondoka katika wilaya ya Namtumbo  kwa  kuwa  hakuna  maeneo ya  kuchungia mifugo hiyo

“Ninyi  ni watanzania wenzetu  na mnastahili kuishi popote ili mradi hamvunji sheria na kwa kuwa  Namtumbo  hakuna eneo la kuweka mifugo  hivyo  akawataka kwenda wilayani Tunduri ndiko kulikotengwa  kwa ajili ya kuchunga mifugo

Malenya aliwaambia wafugaji hao kuwa  wilaya ya Namtumbo ni wilaya ya kimkakati  huzalisha chakula kwa wingi kutokana na ardhi yake kuwa yenye rutuba ,lakini ni wilaya ambayo inategemewa kwa kuzalisha hewa ukaa  kutokana na  hifadhi ya mazingira na vyanzo vya mito ambayo hiungiza maji yake kwenye bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere.

 Hata hivyo  Malenya  alidai Hakuna  namna  lazima muondoke  kwa maslahi mapana ya taifa kutokana  na nyie wafugaji kuchungia mifugo kwenye hifadhi ya misitu ambayo ni vyanzo ya mito na kukata  miti hovyo kwenye  maeneo ya hifadhi  na kuchunga mifugo kwenye  maeneo ya kilimo hali inayodhoofisha ardhi ya kilimo wilayani Namtumbo.

Mohamedi  Omari  mkazi wa kijiji cha Kilimasera alimwambia mkuu wa wilaya huyo kuwa  wafugaji hao  huingiza mifugo  kwenye mazao ya wakulima na kulisha mifugo yao hali inayosababisha kuwepo kwa  njaa  kwa wananchi.

Afisa mifugo wa  Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo Paul Ambokile aliwaambia wafugaji hao kuwa tatizo  la kuwataka muundoke katika wilaya ya Namtumbo ni kwa sababu ya mifugo mliyonayo lakini kama  huna mifugo  unaruhusiwa  kubaki na kufanya shughuli za kilimo mahali popote wilayani Namtumbo kutokana na wilaya kutotenga maeneo ya kuchungia mifugo.

Wilaya ya Namtumbo  inaendesha zoezi  la kuwaondoa wafugaji katika maeneo  yasiyorasmi  ambapo kabla ya zoezi hilo mkuu wa wilaya hufanya mikutano ya hadhara kila kijiji ya kuwataka wafugaji  kuondoka  kwa hiari yao kabla ya kuwaondoa kwa nguvu ..

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA MADEREVA April 13, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA MADEREVA April 13, 2023
  • ORODHA YA MAJINA YA WAOMBAJI WA KAZI YA MUDA YA SENSA WALIOFAULU USAILI NA KUITWA KWENYE MAFUNZO July 27, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA MADEREVA April 13, 2023
  • Ona zote

Habari Mpya

  • MNADA WA UFUTA WAIBUA SHANGWE NA NDEREMO KWA WAKULIMA NAMTUMBO

    May 25, 2023
  • DC NAMTUMBO AWAAMURU WAFUGAJI KUONDOKA KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA

    May 08, 2023
  • DC NAMTUMBO AWAONYA WAFUGAJI

    May 05, 2023
  • DC NAMTUMBO AWASIMAMISHA KAZI WENYEVITI WATANO WA VITONGOJI

    May 04, 2023
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0765142640

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.