• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

DC NAMTUMBO AWAONYA WAFUGAJI

Tarehe ya Kuweka: May 5th, 2023

                                   DC NAMTUMBO  AWAONYA  WAFUGAJI.

Mkuu wa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Ngollo Ng’waniduhu Malenya Amewaonya wafugaji   wa wilaya ya Namtumbo kuacha kupuuza maagizo ya viongozi  ya kuwataka kuondoka katika maeneo yasiyorasmi  ili kupisha maeneo ya hifadhi na maeneo ya kilimo.

Akizungumza na wafugaji na wananchi wa kijiji cha Mtelamwahi,Njomlole ,Ligera na Namahoka mkuu wa wilaya ya Namtumbo alisema maagizo ya viongozi yanapaswa kuheshimiwa  ya kuwataka kuondoka  katika maeneo yasiyorasmi.

Malenya aliwaambia wafugaji  kuwa wanapaswa kuondoka   Namtumbo kwa kuwa  hakuna maeneo yaliyotengwa  kisheria  kwa ajili ya mifugo na kuendelea kubaki katika maeneo yasiyorasmi ni kukaidi maamuzi ya serikali.

Aliwataka kuondoa mifugo yao na kuipeleka  katika wilaya ya Tunduru ndiko ambako serikali imetenga vitalu kwa ajili ya wafugaji kufanya shughuli zao za ufugaji katika maeneo hayo bila kuingiliana na wakulima.

Hata hivyo Malenya  aliwahakikishia wafugaji hao kuendelea kuwa na imani ya kutotaka kuondoka katika maeneo  yasiyorasmi ni kujidanganya kwani  serikali wilayani Namtumbo haiwezi kuvumilia kuona uharibifu wa mazingira kwenye vyanzo vya maji,ukataji miti hovyo kwa wafugaji ukiendelea,kulisha mifugo kwenye maeneo ya hifadhi  pamoja na kuchunga na kulisha mifugo mazao ya wakulima na kuharibu ardhi kwa ajili ya kilimo.

Pamoja na hayo mkuu wa wilaya huyo alidai wilaya imeanza kuwaondoa wafugaji katika maeneo yasiyorasmi  lakini baadhi ya viongozi wa vijiji hushirikiana na wafugaji hao kwa manufaa yao kuvuruga zoezi hilo na waliotuhumiwa na wananchi  kuhujumu zoezi  hilo walisimamishwa kazi kupisha uchunguzi.

Mwenyekiti  wa kijiji cha Namahoka Herman  Kapinga  alisema kijiji chake kina wafugaji wanne lakini wafugaji hao wanasababisha shughuli za kilimo zisifanyike na zikifanyika hugeuka malisho ya   mifugo yao.

Kapinga alidai kuwa serikali yake iliwaandikia barua wafugaji hao ya kuwataka kuondoka katika maeneo ya kijiji hicho kwa kuwa hawana vibali vya kuingiza mifugo katika maeneo ya kijiji, lakini mpaka sasa hawajaondoka kijijini hapo alisema mwenyekiti huyo.

Hamis Ng’amba  mkazi wa kijiji cha Namahoka pamoja na kumpongeza mkuu wa wilaya kwa kitendo chake cha kusikiliza kero kutoka kwa wananchi na kuzipatia ufumbuzi ,alimwomba mkuu wa wilaya huyo swala la kuwaondoa wafugaji  wanaokaidi kuondoka kijijini  hapo lifanywe na ngazi ya wilaya kwa kuwa wanavyombo vya ulinzi na sio serikali ya kijiji .

Mkuu wa wilaya ya Namtumbo anafanya ziara ya kutembelea vijiji vya wilaya ya Namtumbo kuzungumza na wananchi kwa kusikiliza kero na kuzipatia ufummbuzi  huku akiwaonya wafugaji  ambao wanaendelea kusalia katika maeneo yasiyorasmi licha ya kuwataka kuondoka katika maeneo hayo.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA MADEREVA April 13, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA MADEREVA April 13, 2023
  • ORODHA YA MAJINA YA WAOMBAJI WA KAZI YA MUDA YA SENSA WALIOFAULU USAILI NA KUITWA KWENYE MAFUNZO July 27, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA MADEREVA April 13, 2023
  • Ona zote

Habari Mpya

  • MNADA WA UFUTA WAIBUA SHANGWE NA NDEREMO KWA WAKULIMA NAMTUMBO

    May 25, 2023
  • DC NAMTUMBO AWAAMURU WAFUGAJI KUONDOKA KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA

    May 08, 2023
  • DC NAMTUMBO AWAONYA WAFUGAJI

    May 05, 2023
  • DC NAMTUMBO AWASIMAMISHA KAZI WENYEVITI WATANO WA VITONGOJI

    May 04, 2023
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0765142640

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.