• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

DC NAMTUMBO AWATAKA WAZEE KUTUMIA FURSA YA KUJIANDIKISHA MBOLEA YA RUZUKU

Tarehe ya Kuweka: October 1st, 2022

DC NAMTUMBO AWATAKA WAZEE KUTUMIA FURSA YA KUJIANDIKISHA MBOLEA ZA RUZU

Mkuu wa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Dkt Julius Kenneth Ningu amewataka wazee na wananchi wa wilaya ya Namtumbo kutumia fursa iliyotolewa na Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  kujiandikisha ili waweze kunufaika na fursa ya kununua mbolea iliyowekewa Ruzuku ya serikali.

Dkt Ningu aliyasema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee wilayani humo ambapo aliwataka wazee kutumia fursa iliyotolewa na serikali ya kujiandikisha ili waweze kunufaika na fursa iliyotolewa na serikali ya kuwawezesha kununua mbolea iliyowekewa ruzuku .

Aidha Dkt Ningu aliwaambia wazee wa wilaya ya Namtumbo kuwa malalamiko makubwa ya wakulima wa wilaya ya Namtumbo  ilikuwa ni bei kubwa ya mbolea ,hivyo serikali imesikiliza kilio hicho na kuamua kutoa ruzuku kwenye mbolea ili kupunguza bei ya mbolea kwa wakulima.

Hata hivyo Dkt Ningu aliwaambia wazee hao kuwa ili waweze kunufaika na fursa ya kununua mbolea iliyowekewa Ruzuku ya serikali ni lazima kujiandikisha na kujipatia namba ya mkulima  na kinyume cha hapo hawataweza kunufaika na fursa hiyo ya serikali na kudai kuwa kujiandikisha ni bure .

Rajabu Karumbeta pamoja na kuipongeza serikali kwa kuwajali wazee alimwomba mkuu wa wilaya kushughulikia changamoto ya upatikanaji wa dawa katika zahanati  licha ya kuwepo dirisha maalumu kwa ajili ya wazee lakini changamoto ya upatikanaji wa dawa ni tatizo kwa wazee kwani inawapa wakati mgumu kununua dawa katika maduka ya dawa huku maisha yao wanashindwa kumudu kugharimia kununua dawa hizo alisema Tarumbeta

Tarumbeta alitumia nafasi hiyo pia kuwasilisha maombi yao kwa serikali  ya kulipwa pesheni ya wazee ili  waweze kufurahia maisha yao ,kwa kuwa wazee hao wametumia  akili na nguvu zao katika kulijenga taifa hili alisema Tarumbeta.

Daktari Aisha Makange aliwataka wazee kuzingatia lishe bora ili kuepukana na magonjwa yanayotokana na kutozingatia ulaji wa vyakula akitolea mfano wa unywaji wa vinywaji mfululizo kama enegy,pespsi na vinywaji vinginevyo  huleta madhara kiafya alisema Makange.

Makange alisema ipo homa ya kisukari , shinikizo la damu (bp) inayosababishwa na kutozingatia matumizi sahihi  ya vyakula tunavyokula na kuwataka wazee hao kuzingatia lishe ili kujinusuru na madhara yatokanayo na kutozingatia lishe bora .

 Wazee wa wilaya ya Namtumbo wameungana na wezee wenzao duniani kuazimisha siku ya wazee ambapo  kila mwaka huazimishwa tarehe 1 mwezi wa kumi na  kauli mbiu ya siku ya wazee duniani kwa mwaka huu 2022 ni “Ustahimilivu na mchango wa wazee ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa”

Na Yeremias Ngerangera

NAMTUMBO

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO January 18, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO MWAKA 2025 January 12, 2025
  • Ona zote

Habari Mpya

  • DC NGOLLO MALENYA AWAFARIJI WAHANGA WA RADI KATIKA KATA YA LUSEWA WILAYA YA NAMTUMBO

    February 21, 2025
  • WANANCHI NAMTUMBO WAMSHUKURU RAIS SAMIA

    January 06, 2025
  • MATREKTA aliyogawa Rais Samia yawanufaisha wananchi wa Wilaya ya Namtumbo, katika kuongeza Uzalishaji kwenye kilimo cha Kisiasa.

    January 06, 2025
  • Sukrani kwa Mhe.Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

    January 05, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0767519181

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.