Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Ndg. Philemon Mwita Magesa akiongoza Kikao na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo (CMT) Kujadili Namna mbalimbali ya kuongeza Mapato katika Halmashauri hiyo.
Kikao kazi Ambacho Ufanyika kila Jumatatu Asubuhi katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo.
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.