MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Ndg. Philemon Mwita Magesa ameshiriki katika zoezi la kujiandikisha kweye Daftari la Wapiga kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tarehe 27 Novemba 2024 katika Kitongoji cha Bomani, Kilichopo katika Kata ya Namtumbo, ambapo ni Makao Makuu ya Wilaya ya Namtumbo.
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.