• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

Halmashauri Ruvuma zatakata Kwa hati safi

Tarehe ya Kuweka: July 17th, 2024

HALMASHAURI MKOA WA RUVUMA ZATAKATA  KWA  HATI SAFI

Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma Kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023  zimepata hati safi Kwa mujibu wa taarifa za mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za Serikali (CAG).


Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge  Pamoja na viongozi mbalimbali Mkoani Ruvuma walizipongeza Halmashauri zao Kwa kupata hati safi.


Pamoja na pongezi hizo Madenge aliziagiza Halmashauri  kutobweteka na kupata hati safi Bali zijikite kuzingatia kanuni,sheria na taratibu za fedha ili kuzuia hoja zisijitokeze.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Pamoja na kuwashukuru wataalamu wake Kwa kusimamia kanuni,sheria na taratibu za fedha iliyopelekea Halmashauri hiyo kupata hati safi aliahidi kuongeza ushirikiano na wataalamu wake ili kuzuia hoja zisizo za lazima zisijitokeze na kuyafanyia kazi mapendekezo ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali ili Halmashauri yake iendelee kupata hati safi Kila mwaka.


Wakuu wa Wilaya  Mbinga,Tunduru,Namtumbo ,Songea na Nyasa Kwa upande wao walizipongeza Halmashauri zao Kwa kupata hati safi na kudai tafsiri ya hati safi ni kuashiria uwajibikaji katika kusimamia rasilimali za umma.


Halmashauri nane zilizopata hati safi katika Mkoa wa Ruvuma ni Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru,Namtumbo,Nyasa,Mbinga , Halmashauri ya Mji wa Mbinga Pamoja na Halmashauri ya Manispaa ya Songea na Madaba.


Taarifa ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali zilisema Halmashauri hizo za Mkoa wa Ruvuma  zilikidhi vigezo vya  kupata hati safi baada ya kujibu hoja na kuyafanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa na mkaguzi na mdhibiti wa Hesabu za Serikali Kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 na kujipatia hati safi .

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO January 18, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO MWAKA 2025 January 12, 2025
  • Ona zote

Habari Mpya

  • DC NGOLLO MALENYA AWAFARIJI WAHANGA WA RADI KATIKA KATA YA LUSEWA WILAYA YA NAMTUMBO

    February 21, 2025
  • WANANCHI NAMTUMBO WAMSHUKURU RAIS SAMIA

    January 06, 2025
  • MATREKTA aliyogawa Rais Samia yawanufaisha wananchi wa Wilaya ya Namtumbo, katika kuongeza Uzalishaji kwenye kilimo cha Kisiasa.

    January 06, 2025
  • Sukrani kwa Mhe.Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

    January 05, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0767519181

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.