• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

KAMANDA WA POLISI MKOA WA RUVUMA AZUNGUMZIA MAUAJI

Tarehe ya Kuweka: April 13th, 2022

Inocenti mwageni(72) mkazi wa kijiji cha mwande kata ya mateteleka halmashauri ya wilaya ya madaba amekutwa akiwa ameuwawa ndani ya kibanda chake kisha kukatwakatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mguu wa kushoto na watu wasiofahamika.

Kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma Joseph konyo alisema kuwa tukio hilo lilitokea april 12 mwaka huu katika eneo la mashambani vijijini mwande ambapo inadaiwa kuwa mwageni akiwa na mke wake Bonitha danda (65 ) waliondoka nyumbani kwao na kwenda shambani april 11 mwaka huu majira ya asubuhi kwaajili ya kwenda kulima na kupanda maharage ambapo mwage na mke wake walifikia kwenye kibanda chao kilichopo pembeni mwa shamba lao ambacho ukitumia kwa makazi wanapokuwa shambani.

Alisema kuwa mwageni na mke wake bonitha walifanya kazi hadi majira ya saa 11 jioni kisha walilejea kwenye kibanda chao pale shambani kwa kuwa waliishiwa mbegu za maharage za kupanda,mwageni alimwambia mke wake aende nyumbani kwao akachukue mbegu  wakati huo mwageni akaamua kwenda kugema ulanzi na mke wa mwageni aliondoka na kumuacha mume wake pale shambani ila hakuweza kurejea pasipo kwa siku ile kwa ilikuwa ni usiku na giza lilikuwa limeingia hivyo aliona ni vyema kulala hadi asubuhi akiamini kuwa mume wake nae atalala kwenye kibanda cha shambani.

alisema kuwa ilipofika siku iliofuata asubuhi april 12 mke wa mwageni aliwahi kwenda shambani akiwa amebeba mbegu ya maharage na alipofika shambani ndipo alipogundua kuwa mume wake ameuwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali  kichwani na mguu wa kushoto.

Kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma Konyo,alisema kuwa upelellezi kuhusiana na tukio hilo unaendelea ili kubaini chanzo  cha tukio ikiwa na pamoja na kuwasaka waliohusika na tukio la mauwaji ili sharia ichukue mkondo wake.

 

MWISHO

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO January 18, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO MWAKA 2025 January 12, 2025
  • Ona zote

Habari Mpya

  • DC NGOLLO MALENYA AWAFARIJI WAHANGA WA RADI KATIKA KATA YA LUSEWA WILAYA YA NAMTUMBO

    February 21, 2025
  • WANANCHI NAMTUMBO WAMSHUKURU RAIS SAMIA

    January 06, 2025
  • MATREKTA aliyogawa Rais Samia yawanufaisha wananchi wa Wilaya ya Namtumbo, katika kuongeza Uzalishaji kwenye kilimo cha Kisiasa.

    January 06, 2025
  • Sukrani kwa Mhe.Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

    January 05, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0767519181

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.