Maafisa maendeleo wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kutoka Kata ishirini na Moja (21) wakipata Picha ya pamoja baada ya Mafunzo ya Mabadiliko ya Kanuni Mpya ya Mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri kupitia mapato ya ndani
kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo.
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.