• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

MWENGE WA UHURU KUTEMBELEA MIRADI 62 MKOANI RUVUMA

Tarehe ya Kuweka: April 7th, 2022


Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bregedia Generali (BALOZI) Wilbert Ibuge amesema mwenge wa uhuru mkoani Ruvuma utapokelewa wilayani Nyasa tarehe 8 mwezi huu na ukiwa mkoani Ruvuma utakimbizwa umbali wa kilomita 1,052.3 katika Halmashauri  zote 8 ndani ya wilaya 5 na kutatembelea miradi 62.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake Bregedia Generali Ibuge alidai Halmashauri ya wilaya ya Nyasa Mwenge wa uhuru utakimbizwa siku ya tarehe 8 mwezi aprili katika umbali wa kilomita 161.1 ,huku Halmashauri ya wilaya ya Mbinga utakimbizwa siku ya tarehe 9 mwezi aprili umbali wa kilomita 106.5 na Halmashauri ya Mbinga Mji utakimbizwa umbali wa kilomita 72 siku ya tarehe 10 aprili.

Bregedia Generali Ibuge alizitaja Halmashauri zingine za wilaya ya Songea kuwa utakimbizwa umbali wa kilometa 94.3 siku ya tarehe 11 aprili na Halmashauri ya manispaa ya Songea utakimbizwa umbali wa kilomita 70.7 siku ya tarehe 12 aprili 2022, na Halmashauri ya  wilaya ya Madaba utakimbizwa tarehe 13 aprili 2022  kwa umbali wa kilomita 247.

Pamoja na mambo mengine Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma aliwakaribisha wananchi wote wa mkoa wa Ruvuma kushiriki kikamilifu katika kuupokea na kuukimbiza mwenge wa uhuru ukiwa katika mkoa wa Ruvuma.

Mkoa wa Ruvuma utamaliza kukimbiza mbio za mwenge wa uhuru tarehe 15mwezi aprili 2022 baada ya kuukimbiza katika wilaya ya Namtumbo tarehe 14 mwezi aprili umbali wa kilomita 217 na Halmashauri ya wilaya ya Tunduru siku ya tarehe 15 mwezi aprili 2022 kwa kuukimbiza kilomita 83.7.

Aden Mbele mwandishi wa habari wa Radio Jogoo alimwuliza Mkuu wa mkoa wa Ruvuma kuhusu hali ya barabara ambazo zitatumika kuukimbiza mwenge wa uhuru kutokana na hali ya mvua inayoendelea kunyesha hivi sasa na kuthibitishiwa kuwa barabara zote zinazoenda kutumika kupita mwenge wa uhuru zipo vizuri  alisema mkuu wa mkoa huyo

Hata hivyo mwandishi wa habari Mawazo Mwaijengo wa AZAM alitaka kujua miradi iliyokataliwa na kiongozi wa mbio za  mwenge wa Uhuru 2021 na  kutolewa maagizo ya kufanyiwa marekebishona nayo itakuwa katika ratiba ya kuipitia ili kujiridhisha na marekebisho yaliyoagizwa kufanyika aliulizwa mkuu wa mkoa ambapo alifafanua kuwa miradi yote iliyoagizwa kufanyiwa marekebisho na kiongozi wa mbio za mwenge 2021 ilifanyiwa marekebisho na tarifa za marekebisho ziliwasilishwa .

Mwenge wa uhuru kwa mwaka huu 2022 umebeba ujumbe usemao “Sensa ni msingi wa mipango ya maendeleo ;shiriki kuhesabiwa tuyafikie maendeleo ya taifa”

Mwenge wa uhuru ukiwa mkoani Ruvuma utatembelea miradi  62 yenye thamani ya shilingi  bilioni 5,202,463,637.66 ambapo kati ya miradi hiyo miradi 29 yenye thamani ya shilingi bilioni 2,609,061,329.04 itafunguliwa ,miradi 5 yenye thamani ya shilingi bilioni 1,511,397,430.00 itawekewa jiwe la msingi na miradi 28 yenye thamani ya shilingi bilioni 1,082,004,878.00 kukaguliwa pamoja na kugawa vifaa mbalimbali.

Mwisho.

 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WAOMBAJI WA KAZI YA MUDA YA USAJILI WA ANUANI YA MAKAZI NA POSTIKODI WALIOFAULU USAILI NA KUITWA KWENYE MAFUNZO KUANZIA TAREHE 01 - 02/04/2022 March 30, 2022
  • MAJINA YA WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUFANYA USAILI WA AJIRA ZA MUDA ZA KUSAJILI ANUANI ZA MAKAZI March 15, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI (LINARUDIWA) December 21, 2021
  • Ona zote

Habari Mpya

  • MABOMBA YA CHUMA KUMALIZA KERO YA MAJI KIJIJI CHA KUMBARA NA LITOLA

    May 18, 2022
  • DC AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU NAMTUMBO

    April 27, 2022
  • MWENGE WA UHURU WAPITIA MIRADI 9 YENYE THAMANI YA MILIONI 550 NAMTUMBO

    April 15, 2022
  • KAMANDA WA POLISI MKOA WA RUVUMA AZUNGUMZIA MAUAJI

    April 13, 2022
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0765142640

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.