Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo Inawatangazia waandaaji wote wa maudhui mtandaoni waliopo Wilaya ya Namtumbo kuwasilisha maombi ya usajili kupitia fomu maalum iliyotolewa kwa ajili hiyo.
Fomu ya maombi inaweza:
PAKUA FOMU HII:FOMU YA MAOMBI YA MWANDAJI WA MAUDHUI.pdf
Afisa Habari anapatikana Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Barua pepe rasmi ya kuwasilisha maombi:
maudhui@michezo.go.tz
Zoezi la usajili limeanza: 30 Januari 2026
Zoezi la usajili linaisha: 15 Februari 2026
Maombi yote yawasilishwe kwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa.
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.