• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

Pandu awataka watumishi wa serikali kuongeza uwajibikaji kazini

Tarehe ya Kuweka: January 20th, 2021

Pandu awataka watumishi wa serikali kuongeza uwajibikaji kazini

.

Mwenyekiti mpya  wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma  Juma  Pandu  amewataka  watumishi  wa  serikali katika  halmashauri ya wilaya ya Namtumbo  kuwajibika  ipasavyo  katika nafasi  zao  na kuongeza  ushirikiano katika  kazi.

Pandu  aliyasema hayo katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa  Halmashauri hiyo  akiwa na wakuu  wa idara na vitengo  kueleza  changamoto  alizozibaini  katika ziara yake  ya kukagua  miradi katika Halmashauri hiyo  na kuwataka  watumishi kuwajibika katika nafasi zao  na kuongeza ushirikiano ili kuyapatia ufumbuzi  matatizo yanayoikabili  jamii .

Aidha  bwana  Pandu  aliwaambia  wakuu wa idara na vitengo anapenda kuona  ushirikiano kutoka kwa wakuu wa idara na vitengo  pamoja na waheshimiwa  madiwani  kwa kufanya hivyo  wataweza  kutatua changamoto  zilizopo katika jamii kwa  pamoja.

Alitaja  changamoto  ya  uhaba wa dawa katika vituo vya kutolea huduma za afya ,watumishi  wachache  wa idara ya afya  na kumwagiza  mkuu wa idara ya afya  kuhakikisha  dawa zinapatikana  kwa wakati  na huduma  zitolewa  nzuri  kwa wagonjwa  alisema  bwana Pandu.

Changamoto  ya ujenzi wa  maboma  kwa nguvu za  wananchi  wenyewe  kama madarasa,vyoo,zahanati, bwana  pandu  alimtaka mkurugenzi wa Halmashauri  kuhakikisha  wataalamu  wanafika katika maeneo  yanakojengwa  maboma hayo  ili majengo yanayojengwa yawe na ubora  wa kiwango cha serikali.

Diwani  wa kata  ya  Limamu  bwana  Isdori  Nyati  katika kikao hicho alidai ucheleweshaji  wa utoaji wa  fedha  kwa wajumbe  kutoka vijijini  unachukua muda mrefu  na kutaka swala hilo  liwekewe  utaratibu  ili kupunguza  kero kwa  wananchi wanaofuata  huduma za kuchukua  fedha.

Mkurugenzi  mtendaji wa Halmashauri  ya wilaya ya Namtumbo  Evance  Nachimbinya  pamoja na kuwashukuru  wajumbe  wa kikao hicho alisema wamepokea  maagizo hayo  na kwenda  kuyafanyia kazi lakini  utaratibu wa utoaji wa fedha za serikali  utazingatia sheria, kanuni  na taratibu zilizowekwa  na sio vinginevyo.


Matangazo

  • Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021 kutoka katika shule mbalimbali za msingi za Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma December 18, 2020
  • Kimolo Secondary School Joining instruction December 18, 2020
  • Korido Secondary School Joining Instruction December 18, 2020
  • Lisimonji Secondary School Joining Instruction December 18, 2020
  • Ona zote

Habari Mpya

  • Naibu waziri aridhishwa ujenzi wa bweni ,bwalo namtumbo

    February 24, 2021
  • Baraza la wafanyakazi namtumbo lapitisha mapendekezo ya bajeti 2021/2022

    February 22, 2021
  • Familia 6 zapata pigo

    February 11, 2021
  • Mkurugenzi atoa maagizo mazito kwa watendaji

    February 10, 2021
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0765142640

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2018Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.