Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ni moja kati ya Halmashauri chache nchi iliyowekeza kwenye duka la Dawa katika kituo cha Afya Namtumbo ambapo wagonjwa wanaojigharamia, wanaopata matibabu bure pamoja na wanaotumia bima hupata dawa mbalimbali na kwa bei nafuu.
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0765142640
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.