Wilaya ya Namtumbo imezungukwa na vivutio mbalimbali vya kitalii ikiwepo Hifadhi kubwa ya Taifa ya Selous, Mto Ruvuma, Mito midogo na Mabonde inayofanya wilaya kuwa kivutio kikubwa cha utalii kutoka ndani na nje ya Nchi.
Tembo wakiwa ndani ya Hifadhi ya Selous Wilayani Namtumbo.
Simba wakiwa ndani ya Hifadhi ya Selous Wilayani Namtumbo
Ufugaji Nyuki wilayani Namtumbo
Mto Ruvuma uliopo Wilayani Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0765142640
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.