Edwin J Swai
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
KITENGO CHA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA)
Kitengo cha Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano kinasimamia utoaji, ushauri, msaada wa kiufundi kwenye mifumo na huduma ya usambazaji wa habari mbalimbali muhimu za ndani na nje ya wilaya ya Namtumbo.
Majukumu ya Kitengo cha Habari na Mawasiliano
1. Kitengo cha Habari, na Mawasiliano kina jukumu la kuhakikisha Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Namtumbo inadumisha mahusiano chanya na wadau wake wa ndani na nje.
2. Kutangaza shughuli zote za serikali na kuujulisha umma shughuli za maendeleo zinazotekelezwa katika Halmashauri ya wilaya ya namtumbo kwa njia mbalimbali zikiwemo magazeti, majarida,vitabu, vipeperushi, radio, TV na tovuti.
3. kusimamia,kuratibu na kutoa ushauri wa matumizi ya teknolojia ya kompyuta.
4. Kusimika Mifumo yote Kompyuta pamoja na utekelezaji wa Sera ya Serikali Mtandao (e -government policy) katika utumishi wa umma
5.Kusimamia vyombo vya habari vinavyokuja ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo.
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.