Mradi wa ujenzi wa majengo 8 YA Hospitali ya wilaya ya Namtumbo ulianza tarehe 6mwezi februali 2019baada ya kupokea fedha kutoka serikali kuu kiasi cha shilingi bilioni 1.5 na kuanza kujenga majengo hayo .Majengo hayo ni .Wodi ya wanaume,Jengo la upasuaji,,Jengo la mionzi,Maabara,,,Wodi ya wanawake,Wodi ya wazazi,Jengo la stoo ya dawa na Jengo la kufulia.
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: S.L.P 55 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0765142640
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2018Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.