Ili Kupata fomu ya Maombi ya Kitambulisho cha Mjasiriamali mdogo au Mtoa huduma mdogo Bonyeza Hapa.pdf Kisha lipia Tshs. 20,000/= tu kupitia Namba ya Malipo (Control Number) 995040000014 katika maeneo yafuatayo;
ONYO: Hauruhusiwi Mjasiriamali mdogo au mtoa huduma mdogo yoyote kuendesha shughuli za Biashara bila kuwa na Kitambulisho cha Mjasiriamali mdogo cha Mwaka 2020
NB: Kitambulisho hiki kinawahusu Wajasiriamali au watoa huduma wadogo tu ambao sio walipaji wa kodi Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.