Mhe. Malenya ambaye pia aliambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Namtumbo Ndg. Francis Mgoloka pamoja na Wataalamu wa Kilimo na Ufugaji kutoka wilayani Namtumbo wakiwa katika banda la maonesho la Halmashauri ya Wilaya ya Songwe, wakipokewa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Songwe, Ndg. Godfrey Kawacha ambapo amewatembeza katika mabanda mbalimbali ya Mifugo na kujifunza mambo mbalimbali ya Kilimo na Ufugaji.
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.