Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa iliyopo Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma iliyopewa jina la Dkt.Samia Suluhu Hassan ambayo ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 4.6
Uzinduzi uliofanyika mapema hii leo September 27,2024 katika Shule hii ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan .
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.