• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu ya Halmashauri
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji/Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Mipango, Uchumi na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • TASAF
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za ufugaji
    • Fursa za Madini
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokalika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma/Vyombo Mbalimbali vya Habari
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali

Tuiachie tume Ifanye kazi yake ya uchunguzi - Mkurugenzi Namtumbo

Tarehe ya Kuweka: September 28th, 2023

TUIACHIE TUME IFANYE KAZI  YAKE YA UCHUNGUZI .DED NAMTUMBO.


Hiyo ni  Kauli  ya Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma Chiriku Hamis Chilumba kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwake  kwenye kikao Cha baraza la madiwani la hivi karibuni.


Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake waliofika kufuatilia sakata la hivi karibuni kuhusu kukataliwa kwake na baraza la madiwani pamoja na kusimamishwa kazi watumishi wake watatu.


Chilumba alisema Toka kutokea Kwa sakata Hilo anapigiwa simu nyingi Sana na waandishi wa habari licha ya wengine kuja moja Kwa moja ofisini kwake wakitaka azungumzie sakata Hilo, nawaambia "Tuiachie tume ya uchunguzi" ,alisema Chilumba.


Aidha Chilumba alidai  yeye ndiye aliyetuhumiwa hivyo kama yeye ametuhumiwa mamlaka itakayochunguza  tuhuma hizo ndiyo itabaini kuwa tuhuma hizo ni za ukweli au sio kweli ,kwake yeye anatakiwa kujibu tuhuma lakini sio kuingilia majukumu ya tume alifafanua Chilumba.


 Baada ya  majibu hayo waandishi wa habari hao akiwemo wa EATV  ,Newton Yendayenda na Dita Nyoni wa Channel ten  walishiriki zoezi la mheshimiwa mbunge  Vitta Kawawa kikabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 17 katika zahanati ya Kijiji Cha Kilangalanga .


Wakati wa makabidhiano hayo waandishi wa habari hao walijawa na sintofahamu kuona diwani wa kata ya Luchili Othuman Njovu akimwaga sifa Kwa mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Kwa msaada mkubwa alioupata katika kukamilisha zahanati ya Kijiji Cha Kilangalanga.


Waandishi wa Habari hao waliendelea kushuhudia wananchi akiwemo Said Mbawala  aliyewahi kuwa diwani wa kata hiyo katika mahojiano na waadishi wa habari hao  kuhusu kupata maoni yake kuhusu kukabidhiwa Kwa vifaa katika zahanati Yao ya Kijiji hicho hakusita kumshukuru mkurugenzi wa Halmashauri Kwa jitihada zake za kuhakikisha zahanati hiyo inakamilika na inaanza Kutoa huduma na kuwaacha waandishi wa habari hao wakijadiliana kuwa mkurugenzi anayekataliwa na madiwani lakini wananchi wanamkubali walisema waandishi hao.


Baraza la madiwani la hivi karibuni limemkataa mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo Chiriku Hamis Chilumba  na kuwasimamisha  kazi watumishi watatu wa idara ya elimu ,afya na manunuzi huku wananchi wakiwamwagia sifa watumishi hao Kwa kazi nzuri wanazozifanya  za kusimamia miradi ya maendeleo katika maeneo Yao.

Mwisho.





Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO January 18, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO MWAKA 2025 January 12, 2025
  • Ona zote

Habari Mpya

  • DC NGOLLO MALENYA AWAFARIJI WAHANGA WA RADI KATIKA KATA YA LUSEWA WILAYA YA NAMTUMBO

    February 21, 2025
  • WANANCHI NAMTUMBO WAMSHUKURU RAIS SAMIA

    January 06, 2025
  • MATREKTA aliyogawa Rais Samia yawanufaisha wananchi wa Wilaya ya Namtumbo, katika kuongeza Uzalishaji kwenye kilimo cha Kisiasa.

    January 06, 2025
  • Sukrani kwa Mhe.Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

    January 05, 2025
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA WAZIRI WA TAMISEMI
Video

Kurasa za Haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Ikulu ya Tanzania
  • Tume ya Utumishi wa Umma
  • Baraza la Mitihani
  • Tume ya ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo

    Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO

    Simu ya Mezani: 0252675008

    Simu ya Mkononi: 0767519181

    Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.