Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mkoani Ruvuma Vitta Rashid Kawawa akizungumza na wananchi wa Kijiji Cha Magazini kata ya Magazini mamlaka ya mji mdogo wa Lusewa mara baada ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 102 katika kituo Cha afya Cha Magazini kilichojengwa na Serikali Kwa shilingi milioni 500.
Kawawa aliwahaidi wananchi wa kata ya Magazini kuwa vifaa tiba katika kituo Cha afya Magazini zinapatikana pamoja na wahudumu wa afya Ili kuwarahisishia wananchi kupata huduma za afya kirahisi tofauti na ilivyokuwa huko Nyuma ambapo wananchi hao wameteseka Kwa muda mrefu.
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.