Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma imefanikiwa kupata Hati Safi na kufanya Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma kupata Hati safi
Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed katika kikao maalum cha Baraza la madiwani cha kujadili taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) juu ya hoja na mapendekezo CAG kwa hesabu za Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 katika Halmashauri ya Namtumbo
Katibu Tawala wa Mkoa amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed kwenye kikao hicho maalum
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.