Katika ziara hiyo Mwenyekiti wa CMT ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Ndg. Philemon Magesa Amewataka Mafundi kutekeleza Wajibu wao kwa kuzingatia Ubora na Viwango ili Jengo Hilo liweze kuendana na Matakwa yalio kusudiwa na Serikali,
Katika hatua hiyo pia DED Magesa amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kufanya kazi kwa Ushirikiano ikiwa ni pamoja na Kila mmoja kuwajibika katika Eneo lake la kazi.Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Anuani: 2 Barabara ya Boma, S.L.P 55, 57382 NAMTUMBO
Simu ya Mezani: 0252675008
Simu ya Mkononi: 0767519181
Barua Pepe: ded@namtumbodc.go.tz
Hakimiliki©2021Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Haki zote Zimehifadhiwa.