NAMTUMBO WAONYESHA AINA MPYA YA KILIMO CHA BUSTANI YA KICHUGUU NANENANE - MBEYA
Tarehe ya Kuweka: August 7th, 2024
Wananchi kutoka sehemu mbalimbali wakipata Elimu na kushuhudia aina hii ya Kilimo cha Bustani ya Kichuguu Kutoka katika Banda la Wilaya ya Namtumbo kwenye Maadhimisho ya Kuelekea Kilele cha Nanenane 8 Agosti 2024 katika Viwanja vya John Mwakangale Jiji Mbeya.